Wananchi
wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa miili ya watu walofukiwa na
kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi
vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia
Uongozi
wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu
hao.
Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi vijijini. |
Uongozi
wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
Gari
aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio
hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika
na kusababisha vifo vya watu sita.
Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
Huduma ya kwanza kwa majeruhi
kamati ya ulinzi na usalama ilikuwepo hadi usiku wa saa nne jana hadi shughuli ilipomalizika.
Greda ya manispaa ikijaribu kubeba gari lililoangukiwa na ngema ili zoezi la uopoaji miiili uendelee kwa urahisi.
Zoezi likeindelea
Zoezi likiendelea
Moja ya miili iliyofukiwa
Greda likiendelea na juhudi za uokoaji
Miili
ya marehemu waliofukiwa na kifusi ikitolewa katika udongo baada ya
kazi ya zaidi ya saa 5 ya kufukua eneo hilo kumalizika..
credit: michuzi-matukio blog