Like Us On Facebook

UJUMBE MZITO ALIOACHA JACKIE CLIFF KWA MARTIN KADINDA KABLA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA,USOME HAPA

Yaelekea mwanadada Jackie Cliff alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. 

Jackie alijipanga na  kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. 
Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.

Jackie alikamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin  na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya.
 
 Katika maisha kila mtu ana yule rafiki mmoja (BFF) ambaye anamuamini na kumweka moyoni mwake kama ilivyo kwa Jackie na Marin
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari