Shilole
ambaye ni star wa filamu Swahiliwood na pia mwanamuziki anayefanya
vizuri kwasasa katika muziki wa mduara ameonyesha mafanikio yake ya
awali kupitia kazi zake kwa kujenga nyumba maeneo ya Kimara jijini Dar
es salaam ambayo ipo katika hatua za mwisho kukanilika. Shilole amepost
picha ya nyumba yake hiyo mpya kupitia mtandao mmoja wa kijamii na
kuandika "Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu" Big up Shilole.........maisha ni nyumba na sio gari..!!
Nyumba yake ndiyo hii.....................
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.