Like Us On Facebook

MSANII MAARUFU WA KUNDI LA TIP TOP CONECTION AKAMATWA NA GUNIA AROBAINI ZA BANGI

Msanii anaejulikana kwa jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo. akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka mkoani tanga
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari