Like Us On Facebook

JESCA KIKUMBIA AIKANA ACCOUNT YA FACEBOOK INAYOWEKA PICHA ZAKE MBAYA AOMBA MSAADA WA KUIREPORT IFUNGWE ....ANGALIA PICHA MPYA ZA AJABU ZILIZOTUPIWA KWENYE ACCOUNT IYO

"This thing is getting worse,my friends huyo mtu anayetumia jina langu kwa fb bado unapost picha zangu anajiita same name as me and same profile picture,hiyo acc ukiangalia unajua sio yangu,maana kwa watu wanaonifahamu wanajua mimi sijawahi kusoma UDSM na hata post za zamani za hiyo acc sio zangu nna haters lakini pia naamini nina marafiki zangu wananipenda basi please naomba mnisaidie kureport hiyo acc ifungwe.

Hi ndio picha nyingine ya ajabu iliyotupiwa kwenye accnt iyo.

 
Click Hapa Chini ili kuthibitisha kwenye  facebook:

 
BOFYA KUTHIBITISHA KWENYE FB YAKE
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari