Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba,
dada wa kazi
akijiachia namna hii na mwenye nyumba unaangalia tu madhara ni makubwa
labda kama mnaishi wawili tu hapo ndani ila kama unaishi na mumeo kazi
unayooo..!!