Like Us On Facebook

BOND NAYE AFUNGUKA KUHUSU PENZI LAKE NA WASTARA...


"Kila jambo lina muda na wakati wake.. usilazimishe kurudisha saa nyuma wakati ulishachelewa....kubali kushindwa na jipange upya ili upate kushinda siku nyingine..thanx Wastara kwa kufanya kazi yangu pamoja na mimi kupitia kampuni yako ya Wajey film usivunjike moyo kwa mane no ya viblog uchwara na mane no ya binadamu wasiokua na akili timamu" Mr Bond 


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari