MSANII BAGHDAD WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
BAGHDAD AMEWADUWAZA WENGI KUTOKANA NA MWONEKANO WAKE MPYA WA MWILI
WAKE..AWALI MSANII HUYO ALIZOELEKA KUWA NI MSANII MWENYE MWILI MKUBWA NA
KUMTOFAUTISHA NA WENGINE ILIKUWA RAHISI..ILA SASA AMEPUNGUA SANA KIASI
KWAMBA HATA KUMFAHAMU KWA URAHISI INAKUWA NGUMU.AKIONGEA NA MTANDAO HUU
WA AMESEMA SIRI YA MWILI WAKE KUPUNGUA NI MAZOEZI PAMOJA NA
KUZINGATIA BALANCE DIET KATIKA CHAKULA.