Like Us On Facebook

ALINIOMBA NIMPIGE PICHA AKIWA UCHI, NA HII SIO MARA YA KWANZA...SIMUELEWI

Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu  yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo nilivyo hamia, lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara ya tatu huyu dada ananiomba nimpige picha tena akiwa amevaa kiajabu ajabu, siku nyingine anadiriki hata kunigongea chumbani kwangu ili nitoke tu nimpige picha halafu aendelee na shughuli zake. sasa imekuwa kero Simuelewe kabisaaaa.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari