Kila
kukicha mambo yanazidi kwenda vibaya, bila kujali maadili yetu na jamii
inayotuzunguka, baya zaidi ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukiangalia
na kufurahia matendo haya.Msichana huyu ni wa kutoka Bayelsa ambaye
inasemekea kuwa ni fundi sana wa mitindo huru, kwa sasa wateja wake
wameenza kupungua hivyo akaona njia bora ni kuutangaza mwili wake
kupitia kwenye mitandao.Angalia picha yake chini..
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.