aadhi ya madenti wa vyuo vikuu
mbalimbali hapa nchini, wameoza kwa matukio machafu ya ngono Katika
uchunguzi wetu unaondelea mpaka sasa, Wapekuzi wetu wameendelea kuusaka
ukweli na kufanikiwa kunasa matukio mengi machafu yaliyopitiliza ya
vitendo vya ngono ambapo wanafunzi wawili wanaosoma chuo maarufu jijini
Dar es Salaam na wanaoishi katika hosteli maarufu ya....(hakuna haja ya
kutaja jina maana picha zinajieleza) walinaswa laivu wakifanya uchafu
ndani ya hosteli hiyo
Data zilizokamilika zinaonesha
video ya tukio zima la "UCHAFU"walioufanya na "KUUREKODI" wao wenyewe
kwa hiari yao.Hivi sasa imekuwa ni mila na desturi kwa wanafunzi wengi
kuiga tamaduni chafu za nje na hatimaye kutumia simu zao na wakati
mwingine kamera na laptop kurekodi uchafu waufanyao ndani ya hosteli
zao.
Habari za upekuzi wetu zinaonesha
wazi kuwa wanafunzi wengi wa kike wamekuwa wakijihusisha na vitendo
haramu vya ngono rejareja na wanaume wakiwa katika hosteli zao kwa
kisingizio cha ugumu wa maisha.. Harakati hizo za kujikomboa kimaisha
zinawafanya kuwa watumwa wa mapenzi mithili ya watu wanaojiuza na wakati
mwingine hufanyishwa mapenzi kinyume na maumbile yao kwa makubaliano ya
pesa.
Hata hivyo, ripoti ya uchunguzi
wetu haikufanikiwa kuyatambua majina halisi ya wanafunzi hao , isipokuwa
ilifuma picha na video chafu za wanafunzi hao wakiwa ndani ya majengo
ya umma (hosteli)
Mbali na matukio hayo yaliyosheheni
katika makabrasha yetu, uchunguzi umebaini kuwa, siyo kila mwanachuo
anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile
kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na
vitendo haramu vya ngono. Imebainika kuwa wanaoishi hosteli ndiyo
wanaoongoza kwa uchafu huo kwa sababu wana uhuru wa kufanya hivyo bila
kubanwa hivyo kugeuza vyumba vyao madanguro. Wakijitetea kwa nyakati
tofauti, baadhi ya wanafunzi walidai kuwa tatizo ni Bodi ya Mikopo ya
Elimu ya Juu ambayo haiwapi fedha kwa wakati muafaka na kuulalamikia
utaratibu mpya wa sasa na hivyo kutafuta njia mbadala za kujiongezea
kipato. KWA MAADILI HAITOONESHWA