| Jeneza lenye mwili wa marehemu Enea Kagine likibebwa na waombolezaji. |
Akisimulia mkasa huo kwa mapaparazi wetu, jirani wa wanandoa hao aliyejitambulisha kwa jina la Fikiri Rashid alisema:
“Mimi nyumba yangu na yao zinatazamana hivyo siku ya tukio majira ya saa tisa usiku, nilianza kumsikia marehemu akipiga mayowe ya kuomba msaada akisema mumewe anamuua.
| Marehemu Enea Kagine enzi za uhai wake. |
“Baada ya kuwaona ulinzi shirikishi, alikimbilia chumbani na kwenda kujificha uvunguni kwenye kitanda huku watoto wao watatu wakiwa wamelala.
| Mtuhumiwa wa mauaji hayo, Philemon Ng’ambi. |
| Mama mzazi wa marehemu Enea akiwa na simanzi nzito. |
Miili hiyo ilizikwa Jumatatu iliyopita (Novemba 25) mwaka huu katika kaburi moja kwenye Makaburi ya Madale, Dar es Salaam.
-GPL

