Like Us On Facebook

RONALDO APIGA TATU PEKE YAKE URENO IKIILAZA SWEDEN 3-2 NYUMBANI NA KUKATA TIKETI YA BRAZIL..IBRA AFUNGA MBILI ZA WENYEJI

MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo jana usiku ameifungia Ureno mao matatu peke yake ikishinda 3-2 dhidi ya Sweden na kukata tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani Brazil.
Ureno inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mao 4-2 baada ya awali kushinda 1-0 wiki iliyopita nyumbani, bao pekee la Ronaldo. Zlatan Ibrahimovic alijitahidi kuisaidia timu yake jana na akafunga mabao mawili, lakini bahati haikuwa yao.
Ronaldo alifunga mabao yake katika dakika za 50, 77 na 79, wakati  Ibrahimovic alifunga dakika ya 68 na 72.
KIkosi cha Sweden: Isaksson, Lustig, Nilsson, Antonsson, Martin Olsson, Larsson (Gerndt 90), Elm (Svensson 45), Kallstrom, Kacaniklic (Durmaz 82), Elmander, Ibrahimovic.
Ureno: Rui Patricio, Joao Pereira, Pepe, Bruno Alves, Fabio Coentrao (Antunes 52), Meireles (Carvalho 73), Veloso, Joao Moutinho, Nani, Almeida (Ricardo Costa 82), Ronaldo. 

Shujaa: Cristiano Ronaldo akishangilia kuipa Ureno tiketi ya Kombe la Dunia jana
Portugal's Cristiano Ronaldo celebrates scoring the opening goal
Portugal's Cristiano Ronaldo celebrates scoring the opening goal
Heads down: Ibrahimovic and his team-mates look dejected after Ronaldo's third goal
Heads down: Ibrahimovic and his team-mates look dejected after Ronaldo's third goal
Having his say: Ibrahimovic sends home a free-kick piledriver to hand Sweden hope
Having his say: Ibrahimovic sends home a free-kick piledriver to hand Sweden hope
Meeting of stars: Zlatan Ibrahimovic walks menacingly towards star of the show Ronaldo
Meeting of stars: Zlatan Ibrahimovic walks menacingly towards star of the show Ronaldo
Pile-on: Ronaldo is mobbed after his brilliance secured Portugal a coveted spot in Brazil
Pile-on: Ronaldo is mobbed after his brilliance secured Portugal a coveted spot in Brazil
Portugal's forward Cristiano Ronaldo celebrates with teammates
Portugal's forward Cristiano Ronaldo celebrates with teammates
Duel: Portugal's Pepe controls the ball in front of Sweden's Johan Elmander as they do battle for possession
Duel: Portugal's Pepe controls the ball in front of Sweden's Johan Elmander as they do battle for possession
Centre of attention: Portugal and Manchester United winger Nani leaps for the ball, surrounded by Swedish
Centre of attention: Portugal and Manchester United winger Nani leaps for the ball, surrounded by Swedish
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 
KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari