Like Us On Facebook

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SRI LANKA MAHINDA RAJAPAKSA JIJINI COLOMBO.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa (mwenye nguo nyeupe) kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa wakati alipomtembelea kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013
 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyeji wake, Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa pindi alipokuwa akiondoka kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013 mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. 
(PICHA NA IKULU)

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari