Kutokana
na kuendelea kwa Vugugu la Usambazaji wa picha za utupu kwa wakinadada
wengi wakidai wana dhalilishwa na penzi wao kuendelea kushika kasi...
Vitukovyamtaa
BLOG inaendele kukujuza kinachoendelea hasa hapa nchini ....Kupitia
mdau wetu tume nasa video inayonyesha kinachoendelea kwenye kumbi za
starehe nyingi hasa za taarabu.Wanawake wengi hutumia maungo yao
kutafutia kipato kwa kucheza uchi mbele ya kadamnasi na kurusu
kushikwashikwa nyeti zao na wakidai wako kazini...
Nchi
kama ya Tanzani kwa miaka ya nyuma imekua ni nadra sna vitendo kama vya
kucheza nusu utupu kuenekana ila kwa sasa serikali imeonekana kushindwa
kutatua tatizo hili hata wao wakijua kunamakundi (yanafahamika ila
hatuyataji) kazi yao ni kucheza nusu utupu na mengine ni utupu kabisa
mbele a kadamnasi ya watu na kushindwa kuchukuliwa hatua au hata kuonywa
kwa wanayoyafanya ...
KILELE CHA HABARI BLOG inalaani tabia hii kwa kuwa inapoendelea itaharibu taifa la leo
na la kesho la vijana na kuchelewa sana kupata maendeleo kwa kukaribisha
tamaduni hasi ambazo hazitusaidii kwa lolote zaidi ni kujipotezea
heshima..
"Tumeshindwa kuweka video kwenye page kutokana na maadili na tunataka watu wasome makala hii ili tubadilike"