Like Us On Facebook

Picha za P-SQUARE walipotembelea na kutoa Misaada kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu wa Ubongo pale Msimbazi Jijini Dar.

Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Yesaya Mwakifulefule wakipeana mikono na wasanii kutoka nchini Nigeria maarufu kwa jina la P Square (Peter na Paul Okoye), wakati walipotembelea kituo cha watoto wenye ulemavu wa Utindio wa Ubongo cha Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii hao walitoa msaada kwa watoto hao wenye ulemavu huku ikiwa ni njia moja ya kushiriki kazi ya kijamii.


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari