Like Us On Facebook

PAMOJA NA SKENDO YA KUIBIANA MWANAUME (DIAMOND), JOKATE AJITOKEZA NA KUMFARIJI WEMA KWENYE MSIBA WA BABA YAKE MZAZI.

 
LICHA ya kuwa waliwahi kupokonyana bwana (Nasibu Abdul ‘Diamond’), mwigizaji Wema Sepetu na  mtangazaji Jokate Mwegelo wamekutana katika msibani na kupiga stori.

 Kwa mujibu wa meneja wa Wema, Martin Kadinda, Jokate aliibuka Jumanne iliyopita usiku kwenye msiba wa baba Wema uliochukua nafasi nyumbani kwao Sinza-Mori jijini Dar na kumfariji hadi usiku mnene.
“Fani ya urembo na ubunifu ni fani za watu makini sana ambao chuki kwao ni mwiko, nimefurahishwa na kitendo cha Jokate kuja msibani kwani anaonyesha dhahiri kuwa ni mtu mwenye huruma na imani,” alisema Kadinda.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari