Kama
kawaida sikuhizi umeingia mtindo wa kuji fotoa mapicha kwa kutumia
simu tena sio picha tu, bali ni picha za utupu huku ukidhani simu ni
yako na ni kitu cha matumizi binafsi hivyo hakuna mtu atayeweza
kuziona.
Dada huyu yamemkuta makubwa, ni pale alipoenda kucharge sim kwa jirani yake baada ya mahala anapoishi umemekukatika.
Kwa
bahati mbaya kijana mmoja aliyekuwa akiishi nyumba hiyo aliona sim
ngeni nyumbani hapo ikiwa inachajiwa na kuichukua kisha kuanza kuperuzi
mara tu alipoingia kwenye gallery alikutana na picha za utupu kadhaa za
dada huyo na kuanza kujihamishia moja baada ya nyingine.
HATARI SANA. CHUNGA SIMU YAKO..!!