Kipindi cha TV cha Bongo Dar es Salaam ambapo ndani yake huigiza Dude, kilizuiliwa kuoneshwa kwenye TV na polisi waliodai kuwa kinafundisha watu kuwa matapeli, imebainika.
Taarifa hiyo imetolewa na mwanzilishi na mmiliki wa kipindi hicho kilichokuwa kikioneshwa TBC1, Mrisho Mpoto.
“Ilifika
wakati polisi walitutumia barua na wakisema kuwa ‘kwanini Dude
Hakamatwi? Kila siku tunamuona anawatoka polisi,tunataka hkamatwekwasababu mnalidhalilisha jeshi la polisi kama limeshindwa kufanya kazi’.
Huku
wengine wakisema tunafundisha watu mbinu za utapeli,wengine wakisema
kipindi kizuri na kinaelimIsha watu ambao wanaingia Dar es Salaam. Basi
kwasababu walitupiga stop tukaona ngoja tutafute mbinu nyingine,” Mrisho
alisema.
Katika
hatua nyingine, Mpoto amesema kwasasa hawezi kukiendesha tena kipindi
hicho na hivyo atamuachia mikoba Dude, ambaye ni muigizaji mkuu. Amesema
sasa hivi anajishughulisha na mambo ya muziki na pamoja na kuendesha
makampuni yake yanayomwingizia fedha nyingi zaidi.
“Kipindi
cha Bongo Dar es salaam ni cha kwangu. Mimi ndio producer na Dude
alikuwa kama partner, kwasababu alikuwa ni mhusika mkuu. Kwahiyo hata
kama nikaamua kukirudisha naweza nikaenda kurenew kibali nikaendelea
kuproduce kwasababu mimi ndio nimekisajili,” amesema Mpoto.
Mpoto
amesema alisikia taarIfa kuwa Dude alitaka kwenda kukiuza kipindi hicho
M-Net bila kumtaarifu lakini aligonga mwamba kwakuwa hati za umiliki
walizozihitaji anazo yeye.
“Namwachia Dude kiwe cha kwake kwasababu yeye ni mwigizaji na mimi nafanya shughuli tofauti na hizo.
Ingawa
makaratasi ya usajili yote ninayo kama akiyahitaji nitampatia kwasababu
nimesikia kwamba anashindwa kufanya mambo ya kukiendeleza kipindi
kwasababu hana hati ya umiliki wa kipindi. Ili ni tatizo la Watanzania
wengi kushindwa kusema ukweli wa mambo. Nasikia Dude alienda, M-Net
kwenda kuuza vipindi,ila ikashindika kwasababu walihitaji document za
umiliki na document zote ninazo mimi.”
-BONGO5
Taarifa hiyo imetolewa na mwanzilishi na mmiliki wa kipindi hicho kilichokuwa kikioneshwa TBC1, Mrisho Mpoto.
“Ilifika
wakati polisi walitutumia barua na wakisema kuwa ‘kwanini Dude
Hakamatwi? Kila siku tunamuona anawatoka polisi,tunataka hkamatwekwasababu mnalidhalilisha jeshi la polisi kama limeshindwa kufanya kazi’.
Huku wengine wakisema tunafundisha watu mbinu za utapeli,wengine wakisema kipindi kizuri na kinaelimIsha watu ambao wanaingia Dar es Salaam. Basi kwasababu walitupiga stop tukaona ngoja tutafute mbinu nyingine,” Mrisho alisema.
Huku wengine wakisema tunafundisha watu mbinu za utapeli,wengine wakisema kipindi kizuri na kinaelimIsha watu ambao wanaingia Dar es Salaam. Basi kwasababu walitupiga stop tukaona ngoja tutafute mbinu nyingine,” Mrisho alisema.
Katika
hatua nyingine, Mpoto amesema kwasasa hawezi kukiendesha tena kipindi
hicho na hivyo atamuachia mikoba Dude, ambaye ni muigizaji mkuu. Amesema
sasa hivi anajishughulisha na mambo ya muziki na pamoja na kuendesha
makampuni yake yanayomwingizia fedha nyingi zaidi.
“Kipindi
cha Bongo Dar es salaam ni cha kwangu. Mimi ndio producer na Dude
alikuwa kama partner, kwasababu alikuwa ni mhusika mkuu. Kwahiyo hata
kama nikaamua kukirudisha naweza nikaenda kurenew kibali nikaendelea
kuproduce kwasababu mimi ndio nimekisajili,” amesema Mpoto.
Mpoto
amesema alisikia taarIfa kuwa Dude alitaka kwenda kukiuza kipindi hicho
M-Net bila kumtaarifu lakini aligonga mwamba kwakuwa hati za umiliki
walizozihitaji anazo yeye.
“Namwachia Dude kiwe cha kwake kwasababu yeye ni mwigizaji na mimi nafanya shughuli tofauti na hizo.
Ingawa makaratasi ya usajili yote ninayo kama akiyahitaji nitampatia kwasababu nimesikia kwamba anashindwa kufanya mambo ya kukiendeleza kipindi kwasababu hana hati ya umiliki wa kipindi. Ili ni tatizo la Watanzania wengi kushindwa kusema ukweli wa mambo. Nasikia Dude alienda, M-Net kwenda kuuza vipindi,ila ikashindika kwasababu walihitaji document za umiliki na document zote ninazo mimi.”