Like Us On Facebook

KIKONGWE ANUSURIKA KUUWAWA KWA TUHUMA ZA UCHAWI, AKIMBILIA KANISANI ILI KUOKOA MAISHA YAKE

 
Bibi Salima ambaye amenusurika kuuawa baada ya kuanza kupigwa na baadhi ya watu waliokuwa wakimtuhumu kujihusisha na vitendo vya ushirikina ambapo mchungaji Elias Mbagata aliamua kusalimisha maisha ya bibi huyo kwa kumhifadhi ofisini kwake. 


 
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Tambukareli ambao walikusanyika Kanisa la Injili Afrika kumshuhudia Kikongwe huyo anayetuhumiwa kwa Uchawi,Bimkubwa huyo alinusurika kuuawa baada ya kushambuliwa na baadhi ya watu hao na hatimaye kupelekwa kanisani kwa ajili ya usalama wake.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari