Like Us On Facebook

Kesi ya KAJALA kurudiwa kusikilizwa upaya mara baada ya Mumewe kukata RUFAA..

Kajala Masanja




Msanii wa filamu Kajala Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu, baada ya mumewe kukata rufaa. Hukumu ya rufaa ilibidi isomwe leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam lakini imeahirishwa baada ya Jaji aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo kupata hudhuru!

GPL

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari