Like Us On Facebook

HUDDAH NA PREZZO NDANI YA BIFU KUBWA TENA BAADA YA PREZZO KUPOST PICHA AKIWA NA MPENZI MPYA

Baada ya Prezzo kupost picha akiwa na mpenzi wake mpya na kuandika Maneno haya kwenye Twitter "Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future " Huddah monroe Ameibuka na kumponda Prezzo akisema si chochote na hana hela kwani bado anaishi kwa mama yake na kutegemea hela za mama ake...na akiendelea atamwaibisha......

Hivi Ndivyo Huddah Alivyo andika.



By prezzo254
Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future@chaggabarbie #MySize
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari