Like Us On Facebook

Hii ndio Video ya Kikao cha Kamati kuu CDM walipomvua Zitto nyadhifa zake zote za Uongozi ndani ya CHADEMA.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimemvua nyadhifa zote za uongozi naibu katibu mkuu wa chama hicho Mh. Zitto Kabwe na wenzie wawili kufuatia vitendo walivyofanya vya kukihujimu chama hicho na kupewa siku kumi na nne za kujieleza kimaandishi kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa uwanachama.


ANGALIA VIDEO HAPO CHINI

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari