Jamaa huyu ni mume wa mtu mwenye watoto na inaonekana mwanamke
kwenye picha hapo ni mmoja kati ya mabosi zake kazini, ni kama bosi na
mfanyakazi wake sehemu yoyote ya kazi. Sijui ilikuwaje ila inavyoonekana
ni mara baada ya tendo hilo la kijinga mwanaume huyu aliamua
kuzihifadhi picha walizokuwa wakipigana kwenye simu, kisha baadae akaja
kuzionyesha kwa rafiki zake na kuzituma kwa baadhi yao akiwafahamisha
kuwa alifanya map3nz! na bosi wake (pichani chini) na ndivyo ambapo
picha hizo zilipoweza kusambaa kwenye simu za watu mpaka kufika kwa
wafanyakazi wa ofisi yao na kwa sasa wote wawili wamesimamishwa kazi.
Binafsi sielewi ni kwa namna gani zimeingia kwenye mitandao ya Ghana
ambapo wawili hawa wanatokea ila ukweli ni kwamba si huko tu bali hadi
hapa bongo zimetufikia. Tuwe makini na aina ya wap3nz! tunaotaka kuwa
nao