Huwa nawakumbuka naamini kabisa kitambo
si kirefu watakua huru.. wakati nafanya album yangu ya kwanza (mkuki
moyoni) zaidi ya miaka kumi iliyopita kuna ile track MAYOWE REMIX
imepigwa live band ingawa MAJANI alipiga kick, lakini BASE & SOLO
GUITAR alicharaza MZEE NGUZA (babu seya) mwenyewe, ukisikiliza vyema ile
kazi utasikia kila chombo kwa wakati wake hiyo imechangiwa na ustadi wa
Mzee Nguza zaidi, mtoto wake ambae ni PAPII KOCHA alifanya chorus
ilikua vibe sana nakumbuka siku ile pale BONGO RECORDS. wakati huu ambao
nakaribia kutimiza miako kumi ya KING OF RHYMES i wish mungekuepo
tufanye kitu, MFUNGWA, MFUNGWA NI NANI? IMAM, RAISI. ASKOFU, MWALIMU,
HAKIMU, JAJI, MASIKIN, TAJIRI, MCHUNGAJI anaweza kuwa mfungwa... ..
MUNGU ni muweza wa yote na hashindwi na chochote naamini kabisa tutakua
pamoja uraiani .. nawapenda, nawaombea na maelfu ya Watanzania wako
pamoja nanyi
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.