Wema
Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa
na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha.
Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote
Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba
muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo picha?
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.