Like Us On Facebook

VODAFONE WAUNDA CHAJA YA SIMU ITAKAYOKUWA IKITUMIA JOTO LA MWILI KUCHAJI SIMU

                 Kampuni ya simu ya Vodafone kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Southampton cha nchini Uingereza wamefanikiwa kutengeza chaji za simu zijulikanazo kwa jina la “Power Pocket” ambazo zitamwezesha mtumiaji wa simu ya Vodafone kuchaji simu yake kwa kutumia nishati ya joto la mwili wake.
Hii teknolojia mpya itawasaidia watumia wa simu aina ya Vodafone kuchaji simu yake akiwa katika mazingira ambayo hakuna umeme.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari