Like Us On Facebook

NAOMBENI USHAURI NAMPENDA MKE WANGU SANA ILA NASHINDWA KUMTIMIZIA 6X6



                                                          Habari za hapa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 2 sasa, kikazi naweza kusema ni fundi ambae muda mwingi huutumia ktk laptop (yaani kukaa kwa muda mrefu kitak0) huwa mara kwa mara napata maumivu ya mgongo pamoja na kiuno, labda kutokana na kazi zangu. 
Hivi karibuni katika kufanya mapenzi na mke wangu imenitokea kitu cha ajabu kwanza naweza kaa wiki nisitamani kukutana nae kimwili na wala sio kama simpendi, tunapendana saaana, na siku tunayokutana kwanza jamaa hapandi mzuka hasimami, yaani na akisimama huchukua muda, na pia ipe nikianza kuweka tu basi tayari natoa mbegu, bila kumfikisha wala mimi kuridhika na tendo, na wakati mwengine tuko katika foreplay wala jamaa hajasimama nakua niko tayari kumwaga. 
Hivi inaniumiza kichwa nashindwa kufahamu jee kuna ushauri wowote tafadhali changia niko ktk hali mbaya.
Naombeni mawazo na ushauri wenu tafadhali.
-JF
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari