Baada
ya kukosakosa kujinyonga kutokana na kuweka ahadi yake kwenye gazeti la
Mwanasport kwamba kama Yanga ikifungwa anajinyonga, shabiki maarufu wa
Yanga bwana Steve alikutana na AyoTV mara baada ya mechi. Steve anasema
pia anampenda sana Wema Sepetu na kama wangeshinda mechi hii
alimuandalia Wema Sepetu jezi ya Yanga ambayo imeandikwa jina la Wema
Sepetu na kukamilisha furaha yake angempa siku hiyohiyo. Mambo mengine
kama unavyomjua Steve, enjoy mahojian
o yake na AyoTV.