MSHAMBULIAJI Luis Suarez aeipandisha
Liverpool kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kufunga pamoja na
mshambuliaji pacha wake, Daniel Sturridge katika ushindi wa 3-1 dhidi ya
Crystal Palace jana.
Suarez alifunga dakika ya 13, Sturrdige
dakika ya 17 na bao la tatu likafungwa na Steven Gerrard dakika ya 38
kwa penalti, wakati la Crystal lilifungwa na Gayle dakika ya 76.
Kikosi cha Loverpool kilikuwa: Mignolet,
Toure, Skrtel, Sakho/Agger dk66, Sterling, Gerrard, Henderson, Enrique,
Moses/Alberto dk66, Suarez, Sturridge/Aspas dk88.
Crystal Palace: Speroni, Ward, Mariappa,
Delaney, Moxey, Puncheon, O'Keefe, Jedinak, Kebe, Chamakh/Bolasie dk68
na Jerome/Gayle dk46.
Too hot to handle: Daniel Sturridge (left) is congratulated by Luis Suarez (right) after he doubled Liverpool's advantage
Unique: Suarez adjusted superbly to score the opener on the deck
Leading by example: Captain Steven Gerrard slots home his penalty
Unstoppable: Damien Delaney (second left) was turned inside out by Sturridge for his goal
Struggle: Palace defenders could do little to stop an in-form Suarez
MADRID
MRENO Cristiano Ronaldo alipiga shuti
lililobabatiza katika dakika nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimu kwa
muda wa kawaida wa mchezo na kuipa Real Madrid ushindi wa 'aina yake'
katika La Liga victory dhidi ya Levante usiku wa jana.
Real ambayo ilimkosa nyota wa zamani wa Tottenham, Gareth Bale aliye majeruhi, ilipata mabao yake kupitia kwa Sergio Ramos dakika ya 61, Morata dakika ya 90 na Ronaldo dakika ya 94, wakati ya Levante yalifungwa na Diawara dakika ya 57 na El Zhar dakika ya 86
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa: Diego
Lopez, Arbeloa, Varane, Sergio Ramos, Coentrao/Marcelo dk59, Modric,
Khedira, Di Maria, Isco/Morata dk69, Ronaldo na Benzema/Jese dk78.
Levante: Navas, Navarro, Rodas,
Diawara/Barral dk78, Garcia/Pinto dk88, Juanfran, Xumetra/El Zhar dk68,
Lopez, Ivanschitz, Diop na Simao Junior.
Shirt off: Cristiano Ronaldo shows off his physique after scoring the winning goal in the dying seconds
Lord of the dance: Ronaldo's celebration looked similar to famous dancer Michael Flatley (right). Flatley became
Scorers: Captain Sergio Ramos (above) scored Madrid's first leveller and Alvaro Morata (below) made it 2-2
Scorers: Captain Sergio Ramos (above) scored Madrid's first leveller and Alvaro Morata (below) made it 2-2
UTD
KINDA Adnan Januzaj ameifungia mabao
mawili Manchester United ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya
Sunderland katika mechi yake ya kwanza kuchezea kikosi cha kwanza cha
timu hiyo.
Winga huyo mwenye umri wa miaka 18
Mbelgiji, ambaye alipewa alipewa kadi ya njano kwa kujirusha, alianza
kwa kuifungia bao la kusawazisha United dakika ya 55 na kisha akamtungua
kipa Keiren Westwood kufunga la ushindi dakika sita baadaye.
Craig Gardner alitangulia kuwafungia wenyeji daika ya tano.
Kikosi cha Sunderland kilikuwa: Westwood,
Celustka, O’Shea, Roberge, Colback, Giaccherini, Gardner/Larsson dk55,
Cattermole, Ki/Wickham dk74, Johnson/Ji dk64 na Altidore.
Manchester United: de Gea,
Rafael/Smalling dk85, Jones, Vidic, Evra, Nani/Welbeck dk76, Cleverley,
Carrick, Januzaj/Valencia dk76, Rooney na van Persie.
Jaw dropping: Adnan Januzaj rescued Manchester United with two goals, his second a stunning volley
Relief: The result was much needed for David Moyes
Shock: Craig Gardner slammed home the first goal after a terrible mistake by Nemanja Vidic
Loss of form: Jozy Altidore (left) made Nemanja Vidic look ordinary in the first half
Agility: David De Gea made a remarkable save to keep the score at 1-0 in the first half
From zero... Januzaj was booked for diving early on in the second half
To hero... Soon after he earned his team the three points
To hero... Soon after he earned his team the three points
Pants! Adnan Januzaj tries to find a way to bring down Sunderlands Ondrej Celustka
Old boys: Former United defender Wes Brown (left) welcomes Wayne Rooney to the Stadium of LightBEIRY