Msanii maarufu wa filamu na miss tanzania 2006 anaejulikana kwa jina la Wema sepetu,awachanganya wadau wake wa mtandao wa viber na twitter baada ya yeye kutupia picha za kuwatakia usiku mwema mashabiki wake ,picha hizo zinazo mwonyesha mrembo huyo akiwa amekaa pozi mbalimbali kitandani zilizofanya wadau{mashabiki} wake kusema mengi juu picha hizo...
sijui na wewe mdau zimekuchanganya?