Kontena
ambalo lilikuwa na vitu vya nyumbani, limekamatwa likiwa na bidhaa
nyingi za ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo
inasemekana huwa vinatumika kwenye ibada za dini za kishetani. Mzigo huo
bado unashikiliwa na mamlaka za Kenya na hii hapa audio ya ripoti nzima
pamoja na video ya mzigo wenyewe kama ilivyoripotiwa na Citizen TV
Tazama video hapo chini..
Sikiliza taarifa hiyo hapo chini...
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.