Like Us On Facebook

RIHANNA ATOA VIDEO YA WIMBO WAKE"POUR IT UP" MASHABIKI WAMJIA JUU KWAKUWA NI INA MAMBO MACHAFU



             Rihanna amejikuta kikaangoni tena wiki hii baada ya mashabiki wake kumshambulia kutokana na video yake mpya ya wimbo ‘Pour It Up’ wakisema ni chafu na ina matusi mno.

Mamia walitumia mitandao ya kijamii kumponda mrembo huyo kwamba ‘hana hata haya’ kutoa video chafu kama hiyo. Walihoji kama kweli anaweza kuwa mfano wa kuigwa kwa mamilioni ya mashabiki wake vijana duniani.Wanaharakati pia wameuomba mtandao wa YouTube kuipiga chini video hiyo ambayo hadi sasa imeshaangaliwa kwa zaidi ya mara milioni 16 tangu itoke Jumatano ya wiki hii. Wengine wamewataka wazazi kuwazuia watoto wasiitazame video hiyo

                                                                <<IANGALIE HAPA>>

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari