Like Us On Facebook

PROFESSOR JAY ASEMA HATOKUWEPO KWENYE TAMASHA LA SERENGETI FIESTA KESHO


Kupitia  account  yake  ya  facebook, Profesa  Jay amewataka  mashabiki  wake  watambue  kuwa  kuna  wabaya  wake  wali hack  account  zake  za  twitter  na  facebook  na  kutangaza  kwamba  kesho  atatumbuiza  katika  tamasha  la  Serengeti  Fiesta...

Taarifa  sahihi  ni  kwamba, yeye  hatahudhuria  tamasha  hilo  na  waliotangaza  taarifa  hizo  ni  adui wa  mafanikio  yake  ambao  walitumwa  na  vibosi  wao  ili  wamchafue.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari