Like Us On Facebook

PIGO MAN UNITED, FELLAINI AUMIA ANA ATAKUWA NJE KWA WIKI SABA

                 KIUNGO wa Manchester United, Marouane Fellani anaweza kufanyiwa upasuaji wa kiganja cha mkono ambao utamfanya ae nje ya Uwanja hadi Desemba. 
Mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 27.5 msimu huu, aliikosa mei ya Jumamosi timu yake ikishinda mabao 2-1 katika Ligi Kuu ya England dhidi ya Sunderland na atakutana na wataalamu mjini Manchester kabla ya kukutana na matabibu nchini Ubelgiji.
Atazikosa mechi za timu yake ya taifa wa kuwania tiketi ya Kome la Dunia dhidi ya Croatia na Wales, na atazikosa kwa miezi miwili mechi United katika Ligi, Kombe la Ligi na Ligi ya Mabingwa. 
Lakini wakati habari ilipobandikwa katika ukurasa maalum wa facebook wa klabu ya Manchester United (Facebook page), wengine waliguswa na matatizo ya Mbelgiji huyo na kumtakia heri, lakini wengine walimkandia 'kinoma'. 
Waiting game: Marouane Fellaini will see a specialist in manchester before flying to Belgium to be assessed by a national team doctor
Majanga: Marouane Fellaini atakutana na wataalamu mjii Manchester kabla ya kwenda kukutana na daktari wa timu ya taifa ya Ubelgiji 

Taarifa hiyo ilisema: "Jumamosi, imetokea habari ya kuumia kwa Marouane Fellaini, maumivu ambayo yanaweza kumuweka nje kwa angalau wiki chache... Ungana nasi kumtakia Fellaini apone vizuri..."
Pamoja nayo, baadhi ya waliochangia habari hiyo walimkandia mchezaji huyo na kuonekana kama kufurahia hali iliyompata Mbelgiji huyo.
Mmoja alisema ilikuwa habari njema, mmoja hakika alifurahia sasa anakuwa nje na mwingine akasema; 'jambo zuri kwamba maumivu yanamuweka anakuwa nje.'
Mwingine alikwenda mbali zaidi, na mwingine akimponda kwamba mchezaji mbovu zaidi kusajiliwa Ulaya nzima msimu huu' na mwingine akatoa maoni yake kwamba; 'tunaonekana vizuri bila yeye.'
Backlash! Some of the comments left by fans on the Fellaini story
Backlash! Some of the comments left by fans on the Fellaini story
Backlash! Some of the comments left by fans on the Fellaini story
Backlash! Some of the comments left by fans on the Fellaini story
Pain game: Fellani could be out for weeks if he has to undergo surgery on his injured wrist
Say it ain't so: The Belgium midfielder faces a spell on the sidelines
Maumivu: Fellani anaweza kuwa nje kwa wiki kadhaa kama atafanyiwa upasuaji
Say it ain't so: The Belgium midfielder faces a spell on the sidelines
Akimiliki mpira: Kama Fellaini aifanyiwa upasuaji, atalazimika kuvaa kifaa maalum cha kuukinga mkono wake atakaporejea uwanjani

Kocha David Moyes alisema; "Atakwenda kukutana na wataalamu. 'Hayuko vizuri sana, lakini tutasubiri hadi Jumatatu na tutajua,".
Fellaini anaweza kuhitaji kuvaa kifaa maalum cha kukinga kifundo chake cha mkoko atakaporejea uwanjani.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari