Like Us On Facebook

PICHA:MAANDALIZI YA JUKWAA LA SERENGETI FIESTA ITAKAYOFANYIKA KESHO KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB

Pichani ni sehemu ya maandalizi ya jukwaa la kisasa kabisa la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar,tamasha hilo ambalo litawajumuisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya zaidi ya 50 wakiwemo na wageni kutoka nchini Nigeria linatarajiwa kufanyika kesho jumamosi ndani ya viwanja vya liders club,ambapo kiiingilio kimepangwa kuwa ni shilingi 10,000 na 15,000 kwa mtu mmoja.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari