Like Us On Facebook

P-SQUARE KUFANYA MAKAMUZI YA NGUVU HAPA NCHINI TANZANIA NOVEMBER 23

                      Kwa mujibu wa kituo cha EATV, wasanii hao wenye hits nyingi ikiwemo Alingo, Chop My Money na zingine wanatarajiwa kufanya onesho lao Tanzania tarehe 23 November. EATV wametweet
Na baadaye kupitia ukurasa wao wa facebook wakaweka msisitizo: “TUTAELEWANA TU MWAKA HUU AU SIO?!! EHHH!!
Sikia hii sasa!! Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu ‘P SQUARE’.
Jipange kucheza na PERSONALLY, ALINGO, CHOP MY MONEY na nyingine kibaooooo!!
NOVEMBA patakuwa HAPATOSHII!! JIPANGEEEE !!!!!!!!!”





CREDIT: BONGO5


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari