Jana majira ya saa kumi na mbili asubuhi wakazi wa maeneo ya ukonga sabasaba walisikia kishindo kikubwa na baada ya kutoka wakakashuhudia dada mmoja amabaye anasaadikiwa kuwa n i mchawi kadondoka akiwa katika safari zake za usiku na baadhi ya mashuhuda walioukwepo katika eneo hilowalisema walimkuta ndani ya gari aina ya RAV4 japo milango ilikuwa imefungwa |
binti huyo alikamatwa na akiwa na kipande cha mti na tawi la kuti la mnazi ambao inasadikiwa kuwa ndio usafiri wake wa usiku.
wananchi waliofanikiwa kuongea na mdau wamesema kuwa hali hiyo iitakuwa imetokana na kuwa kuna mganga mmoja kuhamia maeneo hayo siku za karibuni |