Muhudumu
wa kiume wa baa moja maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni
alinaswa akifanya ufuska kwa kumnyoa maziwa hadharani mteja wake na
kuacha kazi.
Tukio
hilo ambalo lilishuhudiwa pia na wahudumu wa baa hiyo ambapo awali dada
huyo alionekana kukolea kilaji kupita kiasi na kukosa stamala na baadae
kujikuta akifanya upuuzi huo.
Kijana
huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Chambuso alijikuta kwenye
wakati mgumu baada ya menejaa wake kufika na kushuhudia tukio hilo kisha
kumuamuru kuvua jezi za ofisi kisha kuondoka bila kutoa maelezo.