Mtu
ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa amejinyonga usiku wa
kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu huyu kujinyonga
hakijafahamika.
Askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu na kuanza juhudi za kuutoa mwili huo.
Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.