Like Us On Facebook

Mke wa mtu achomwa kisu JICHONI baada ya kufumaniwa na mwanaume mwingine


             Mwanamke  mmoja  ambaye  mpekuzi  wetu  toka  Nigeria   hakuweza  kulitambua  jina  lake  amechomwa  kisu  jichoni  na  mume  wake  baada  ya  kufumaniwa  akigawa  tunda  kwa  mwanaume  mwingine  ambaye  ni  rafiki  yake  wa  damu....

Inaarifiwa  kwamba, mume  wake  alipewa  taarifa  na  jirani  yao  kwamba  mkewe  yuko  ndani  na  mwanaume  mwingine  ambaye  ni  rafiki  yake....

Baada  ya  taarifa  hiyo, mume  huyu  alifunga  safari  kuelekea  kwake  na  akamkuta  mkewe  akisaliti  penzi  lao  ndani  ya  kitanda  chao..

Kitendo  hicho  kiliongeza  hasira  kwa  jamaa  huyo  ambaye  alijikuta  akimchoma  mkewe  kisu  jichoni
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari