Like Us On Facebook

INASIKITISHA...!! MTOTO WA MIAKA MINNE AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO CHA JIRANI MKOANI MBEYA.

Mwili wa Marehemu Joshua Isaac, 4,  mara baada ya kutolewa kwenye shimo la choo cha jirani alikotumbukia  na kufikwa umati.
 Habari zinasema kwamba juzi marehemu alikuwa anacheza na wenzake kisha akatoweka. 
Wadau mbali mbali wakishuhudia jana hilo
Picha na Habari kamili tutawapa baadae.... endelea kufuatilia.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari