![]() |
| Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa |
![]() |
| Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa |
![]() |
| Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 |
![]() |
| Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa |
![]() |
| Bin Zubeiry aliionja kidogo |
![]() |
| Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani? |
![]() | |||
| Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam-BIN ZUBEIRY | - |









