Like Us On Facebook

GARETH BALE MIKOSI MITUPU REAL MADRID, SASA ATAKIWA 'KISU CHA NGIRI'

             BALAA la majeruhi limezidi kumuandama mchezaji ghali duniani, Gareth Bale katika maisha yake mapya katika klabu ya Real Madrid, baada ya kugundulika anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri.
Lakini majeruhi hayo hayatarajiwi kuathiri matarajio yake ya kurejea kwake uwanjani kuwahi mechi kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus Oktoba 23 na dhidi ya Barcelona siku tatu baadaye.
Sidelined: Bale may need surgery to remedy the problem that has plagued his start to life at Madrid
Benchi: Bale anaweza kuhitaji upasuaji wa ngiri
Get going: The injury is not expected to affected his scheduled return to action on October 23
Lakini majeruhi hayo hayatarajiwi kumchelewesha kurejea uwanjani kulingana na matarajio yake Oktoba 23

Tatizo hilo ni mbali na  matatizo ya misuli yaliyomfanya Bale acheze dakika 132 tu na kuanza katika mechi moja tu msimu huu.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari