Like Us On Facebook

ENGLAND YAIFUMUA MONTENEGRO 4-1 NA SASA WABISHA HODI BRAZIL 2014

                ENGLAND imeongeza matumaini ya kufuzu Kombe la Dunia baada ya kuifumua Montenegro mabao 4-1 usiku huu.
Mabao ya England inayofundishwa na Roy Hodgson yamefungwa na Rooney dakika ya 48, Boskovic akajifunga dakika ya 62, Townsend dakika ya 78 na Sturridge dakika ya 90 kwa penalti, lakini la wageni limefungwa na Damjanovic dakika ya 71.
Kikosi cha England kilikuwa: Hart, Walker, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard/Milner dk87, Lampard/Carrick dk65, Townsend/Wilshere dk80, Rooney, Welbeck na Sturridge
Montenegro: Poleksic, Pavicevic/Beciraj dk57, Kecojevic, Savic, Jovanovic, Zverotic, Drincic, Boskovic, Volkov/Vukcevic dk72, Damjanovic na Jovetic/Kazalica dk81..
Super strike: Andros Townsend scores England's third goal on his international debut
Bao safi: Andros Townsend akiifungia England bao la tatu katika mechi yake ya kwanza ya kimataifa
Celebration: Townsend can't hide his delight following his wonder goal
Shangwe: Townsend akishangilia
Lining it up: Townsend lines up the shot and rifles it into the corner
Townsend akifanya vitu vyake
We have lift-off: Wayne Rooney (No 10) scores England's opening goal from close range
Wayne Rooney (Namba 10) akiifunai England bao la kwanza
Crucial strike: Rooney puts England ahead with a scuffed finish
Rooney alivvyofunga bao lake
Jumping the hurdle: Leighton Baines tries to get between two Montenegro defenders
Leighton Baines akijaribu kupasua ukuta wa Montenegro 
Off target: Gerrard attempts a shot which went well over
Gerrard akipiga juu ya lango
Eyes on the ball: Gerrard marshals Branko Boskovic
Gerrard akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Branko Boskovic
Nervous: Roy Hodgson looked pensive before kick-off at Wembley
Presha inapungua: Kocha Roy Hodgson akiangalia vijana Uwanja wa  Wembley

Nayo Ujerumani imeendeleza ubabe baada ya kuifumua Jamhuri ya Ireland mabao 3-0 usiku huu, shukrani kwao Khedira aliyefunga dakika ya 12, Schurrle dakika ya 58 na Ozil dakika ya 90.
Hot shot: Sami Khedira gave Germany an early lead
Sami Khedira akiifungia Ujrumani bao la kwanza
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari