Gloserry flani jijini Dar Es Salaam. Kitendo hicho kimemsababishia adhabu kali ya kutoshiriki baadhi ya Show zitakazofanywa na kundi hilo lililochukua ushindi katika mpambano wa Dance mia mia mwaka huu na kusani mkataba kwa Mr Chocolate (Bob Juniour) Rais wa Masharobaro.