Like Us On Facebook

AJALI MBAYA YATOKEA LEO MAENEO YA BANDARI JIJINI DAR..!! TAZAMA PICHA ZA TUKIO HAPA...

Baadhi ya waendesha pikipiki Maarufu kama bodaboda wakiwa katika eneo la Bandarini ampapo ajali imetokea baada ya gari aina ya Toyota Land Cruiser kuigonga pikipiki.
 
Toyota Land Cruiser linalodaiwa kumgonga muendesha pikipiki aliyetambulika kwa jina moja la Huweso.
 
...Askari wa usalama wa barabarani akichukua maelezo katika eneo la tukio, alielala chini ni Huweso baada ya kupata ajali.
         
....Huweso akiwa amelazwa ndani ya gari tiyari kupelekwa Hospitalini.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari