Like Us On Facebook

VIDEO:MZUNGU WA KIMAREKANI AKIIMBA NYIMBO YA'MBAGALA' YA DIAMOND MWANZO MPAKA MWISHO

              Tumekuwa tukiona wa bongo wengi kutokea kupenda nyimbo za nje na hata wengine kujaribu kuzishika vizuri nyimbo za wanamziki mbali mbali kama kina Neyo, Chris brown ,TI na wengine wengi. ila hii ya sasa ni tofauti kuona wazungu kupenda nyimbo mbali mbali za wanamziki wa hapa nchini na hata kujaribu kuzikariri kwenye kuimba kwao,hii inaashiria ninamnagani mziki wa bongo unabadilika na kushika anga za kimataifa .Hii ni video inayomuonesha mzungu mwenye Uraia wa kimarekani akijaribu kuimba nyimbo ya Daiamond platinumz kwa umahiri zaidi na kwa kutumia vyombo vya mziki msikilize kupitia hapa.

CHEKI HAPA 

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari