Like Us On Facebook

RAYUU KUWEKA HADHARANI UCHAFU WA SINTAH KAMA ATAENDELEA KUMFUATAFUATA.





          Kwa wale waliofikiri kuwa beef la waigizaji wa filamu nchini Christina Manongi(Sintah) na Rayuu limekwisha basi wamekosea. Juzi Sintah ambaye pia ni blogger maarufu aliweka picha za nusu uchi za mwamke mmoja
anayeitwa Florah Lymo amabye pia ni blogger aliyewahi kudai kubakwa na mbunge mmoja wa kanda ya kaskazini na katika post ya picha hizo Sintah alilitaja jina la Rayuu kwa kuandika "LORD HAVE MERCY , hapana aiseeee mtu mzima kama wewe kweli ukafanye mambo yakina Rayuu?? ni umaarufu wa aina gani unaoutafuta jamani"
 Baada ya kuandika hivyo inaonyesha Rayuu ambaye pia alianzia kuigiza katika kundi la Kaole Kama Sintah alitonywa na watu wake na kuona alichokiandika Sintah hivyo kupitia Facebook Rayuu ameandika "Sintah bila kunitaja hujisikii raha, sitaki uniongelee naona mirembe inakuita, we sio mzima na ukiendelea natoa uchafu wako hadharani 

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari