Like Us On Facebook

"ANAYELALAMIKIA OPERESHENI KIMBUNGA SI MTANZANIA HALISI"....IDARA YA UHAMIAJI

 IDARA ya Uhamiaji imesema, mtu anayelalamikia operesheni ya kukamata na kuwarejesha makwao wahamiaji haramu si mtanzania halisi na imesisitiza kamwe haitarudi nyuma katika operesheni hiyo. Aidha, idara hiyo inachunguza watu 24 waliodai kuwa ni watanzania kwa kuhakikisha inakwenda hadi vijijini walikozaliwa kubaini ukweli.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari